HABARI

TEN HAG ASEMA UNITED WALIKUWA BORA KULIKO BAYERN JANA!

Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Eric Ten Hag amesema kuwa vijana wake jana walionyesha mchezo mzuri na hawakustahili kupoteza mechi yao dhidi ya Bayern Munich katika uwanja wa Old Trafford. Ten Hag ambaye kikosi chake kimetolewa kabisa katika mashindano ya Uefa anasema katika kila idara klabu hiyo ilikuwa imara lakini matokeo ya kupigwa bao […]

TEN HAG ASEMA UNITED WALIKUWA BORA KULIKO BAYERN JANA! Read More »

RAIS RUTO ASEMA KENYA IMEPIGA HATUA KIMICHEZO

Rais William Samoei Ruto anasema kwamba Kenya imepiga hatua katika michezo baada ya miradi kadhaa kuzinduliwa ikiwemo Talanta Hela uliozinduliwa rasmi mwezi Juni mwaka huu. Akihotubia taifa jana katika sherehe za siku kuu ya Jamhuri  jijini Nairobi  Ruto alisema kuwa  wachezaji wa Kenya wanazidi kuipa sifa nchi hii kupitia juhudi zao viwanjani katika mashindano ya

RAIS RUTO ASEMA KENYA IMEPIGA HATUA KIMICHEZO Read More »

FAITH KIPYEGON APEWA HESHIMA YA EGH NA RAIS WILLIAM RUTO

Mwanariadha Faith Kipyegon ambaye  ameingia katika rekodi za dunia kuwa mwanariadha bora wa mwaka huu katika tuzo zilizofanyika jijini Monaco Ufaransa na kuwa mwanariadha wa kwanza wa kike kutoka hapa nchini kushinda tuzo hilo ameeleza kufurahishwa na matunda ya bidii alofanya mwaka huu katika mashindano mbalimbali. ”Kwa kweli nasikia furaha sana kwa umbali huu. Najivunia

FAITH KIPYEGON APEWA HESHIMA YA EGH NA RAIS WILLIAM RUTO Read More »