MASHINDANO YA TONG IL MOO-DOO KUANZA RASMI MOMBASA
Mataifa 21 yalianza rasmi kuwasili mjini Mombasa jana tayari kwa kushiriki katika mashindano ya makala ya 11 ya Tong Ill Moo doo Opens ambayo yanaanza rasmi hii leo katika ukumbi wa akademia ya Agha Khan. Hata hivyo katika taarifa za awali ni kuwa mashindano hayo yamevutia takriban mataifa 42 kutoka pande mbalimbali za dunia. Timu […]
MASHINDANO YA TONG IL MOO-DOO KUANZA RASMI MOMBASA Read More »



