ONANA KUTOCHEZA MECHI MBILI NDANI YA MASAA 24 TOFAUTI NA TAARIFA!
Kipa nambari moja wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Cameroon Andree Onana anatarajiwa kukosa mechi ya kwanza ya Afcon wakati timu yake ya taifa itakuwa inacheza dhidi ya timu ya taifa ya Guinea. Onana atakosa mechi hiyo baada ya kukubali kucheza mechi ya ligi katika klabu ya Manchester United jana dhidi […]
ONANA KUTOCHEZA MECHI MBILI NDANI YA MASAA 24 TOFAUTI NA TAARIFA! Read More »



