HABARI

BEACH BAY YAPANGA KUINGIA SOKONI, MALINDI UNITED IKIREJEA MALINDI

Klabu ya Beach Bay yenye makazi yake katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi klabu inayoshiriki ligi ya daraja la pili kitaifa inalenga kusajili wachezaji watatu katika dirisha la usajiliili kukiimarisha kikosi hicho. Mkufunzi wa klabu hiyo James Mkutano amesema kwamba Beach Bay inawinda wachezaji  wawili kutoka PAG na mmoja kutoka Lubumbashy FC ili […]

BEACH BAY YAPANGA KUINGIA SOKONI, MALINDI UNITED IKIREJEA MALINDI Read More »

HII NDIO SABABU ONANA HAKUCHEZA MECHI YA KWANZA AFCON

Mkufunzi mkuu  wa timu ya taifa ya Cameroon Rigobert Song amethibitisha kuwa  ilikuwa vigumu kwa Andre Onana kucheza kwenye mechi ya AFCON dhidi ya Guinea jana mechi yao ya kwanza katika mashindano hayo. Ameeleza kipa huyo wa Manchester United aliwasili kambini Ivory Coast kama alichelewa. Yote ikitokana na safari yake ya ndege kuwa na changamoto

HII NDIO SABABU ONANA HAKUCHEZA MECHI YA KWANZA AFCON Read More »