HABARI

SERIKALI KUFUATILIA UCHAGUZI WA FKF

Waziri wa michezo Ababu Namwamba amethibitisha kuwa serikali ya Kenya itafiatilia kwa ukaribu sana matukio yatakayofanyika katika harakati za shirikisho la soka la fkf kufanya uchaguzi mwaka huu. Amesema kwamba ni sharti sheria zifuatwe katika uchaguzi huo, sheria za uchaguzi wa FKF zilizobuniwa na kutumika mwaka 2020. ”Serikali iko na jukumu la kufuatilia na tutafuatilia […]

SERIKALI KUFUATILIA UCHAGUZI WA FKF Read More »