HABARI

KASAYA AHAMIA 3K

Mshambuliaji matata wa klabu ya SS Assad Elmond Kasaya ameachiliwa rasmi na klabu hiyo kwenye zoezi lake la kutaka kuihamia klabu yake mpya ya 3K inayoshiriki katika ligi ya daraja la kwanza kitaifa. Taarifa zasema kwamba klabu ya 3K inayoongozwa na mkufunzi Francis Chege imeshamsajili Kasaya baada ya kupiga tizinao kwa muda. Kasaya sasa anatayariwa

KASAYA AHAMIA 3K Read More »