HARRY KOMBE AOMBWA TIMU MAGARINI
Wito umetolewa kwa mbunge wa eneo bunge la Magarini Harry Kombe kuboresha michezo katika eneo hilo ili kuinua viwango vya wachezaji mashindano. Hapi Kazungu ambaye ni mkufunzi wa klabu ya ligi ya kaunti Lubumbashi Fc amesema kwamba eneo la Magarini limebaki nyuma kimichezo tofauti na sehemu nyingine akihoji kwamba michezo imesaidia vijana wengi kuepuka kutenda […]
HARRY KOMBE AOMBWA TIMU MAGARINI Read More »



