MILDRED CHECHE APEWA KAZI NA FKF
Shirikisho la soka hapa nchini FKF limemteuwa Mildred Cheche kuwa mkufunzi wa timu ya taifa ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 17 Junior Starlets. Cheche ataisaidiwa na mkufunzi wa timu ya taifa ya wachezaji wasiozidi miaka 15 Ann Aluoch. Cheche kwa sasa ndiye mkufunzi wa kikosi cha timu ya taifa ya Rising Starlets lakini pia […]
MILDRED CHECHE APEWA KAZI NA FKF Read More »



