HABARI

MALINDI UNITED YAKATAZA WACHEZAJI KUSHIRIKI ”TOURNAMENTS ZA MTAANI”

Mkufunzi wa klabu ya Malindi United klabu inayoshiriki katika ligi ya kitaifa ya daraja la kwanza Elly Katana amepinga kujihusisha kwa wachezaji wake katika mashindano mbalimbali ambayo sio ya ligi ya FKF. Amesema kwamba klabu hiyo inayomilikiwa na mwakilishi wadi wa mji wa Malindi Rashid Odhiambo imeweka sheria za kuzuia wachezaji kujihusisha na mashindano kama […]

MALINDI UNITED YAKATAZA WACHEZAJI KUSHIRIKI ”TOURNAMENTS ZA MTAANI” Read More »

MALINDI PROGRESSIVE ACADEMY YAJIANDAA KWA DERBY YA KILIFI

Mkufunzi wa klabu ya Malindi Progressive Nero Chishenga anasema ukosefu wa washambulizi katika kikosi chake bado ni tatizo ambalo linampa kichwa kuuma jambo linalomfanya kushindwa kushinda mechi. Nero anasema kwamba kwa mechi za hivi punde ikiwemo ile ya wikendi ilopita dhidi ya Ziwani Youth tatizo hilo lilikuwepo licha ya wachezaji katika idara nyingine kuonyesha kiwango

MALINDI PROGRESSIVE ACADEMY YAJIANDAA KWA DERBY YA KILIFI Read More »

LIVERPOOL KUMTIBU MO SALAH WENYEWE, DRO YA 16 IKITOKA

Mkufunzi wa klabu ya Liverpool Jergen Klopp ameweka wazi kuwa Mohamed Salah atarejea Afcon iwapo timu yake ya taifa ya Misri itafika fainali akizingatia muda ambao mchezaji huyo anazidi kupokea matibabu. Amesema kwamba shirikisho la soka la Misri walikubalina na Liverpool kuwa Salah akapokee matibabu Anfield ili kupata afueni ya haraka ikizingatiwa kuwa Anfield ndio

LIVERPOOL KUMTIBU MO SALAH WENYEWE, DRO YA 16 IKITOKA Read More »