HABARI

KENYA YAJIPANGA KWA CHAN MWEZI SEPTEMBA

Waziri wa michezo Ababu Namwamba amethibitisha kuwa kaunti ya Kakamega kutoka mkoa wa Magharibi ndio itakuwa wenyeji wa mashindano ya kombe la mataifa bingwa afrika maarufu kama Chan huku uwanja wa Bukhungu ukiwa kati ya viwanja ambavyo vinatarajiwa kutumika. Kwa sasa uwanja huo unafanyiwa ukarabati kwa ajili ya mashindano hayo makubwa ambayo yanatarajiwa kuanza rasmi […]

KENYA YAJIPANGA KWA CHAN MWEZI SEPTEMBA Read More »

GAUCHO KUJIUNGA NA MALINDI UNITED BAADA YA KUACHANA NA BULLS

Kocha mkuu wa Young Bulls, Ali Said Gaucho, ameondoka katika klabu hiyo ya FKF Division One yenye makaazi yake mjini Malindi kwa wiki moja sasa. Gaucho ametaja kuna baadhi ya vitu ambavyo hakuvielewa baina yake na uongozi hivyo basi kulazimika kufunga virago. Kwa sasa, anahusishwa na kutua Malindi United ingawa dili hilo haliko wazi. Coach

GAUCHO KUJIUNGA NA MALINDI UNITED BAADA YA KUACHANA NA BULLS Read More »