NGARAMBE ZA SHULE YA UPILI KUANZA RASMI
Michezo ya Shule Za Sekondari kata ndogo ya Malindi imeratibiwa Kupigwa Hapo kesho Tarehe Ishirini na Nane, na Siku ya Alhamisi Tarehe ishirini na Tisa katika Uwanja Wa Shule Ya Malindi High, vyuo Hivyo Vikisaka Nafasi ya Kufuzu kwenye Hatua ya Kaunti. Shule ya Upili ya Muyeye, Kibokoni, Barani na Sabaki, Zimepangwa kwenye Kundi A […]
NGARAMBE ZA SHULE YA UPILI KUANZA RASMI Read More »



