HABARI

WANAHARAKATI WA KENYA WAZUILIWA KUHUDHURIA KESI YA KIONGOZI WA CHAMA CHA CHADEMA TUNDU LISU.

Serikali ya Tanzania imeweka wazi sababu za kuwakamata na kuwarudisha makwao, wanaharakati kutoka Kenya na Uganda, waliokuwa wamefika jijini Dar es Salaam, kushuhudia kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu. Tukio hilo limeibua mjadala mkubwa kuhusu uhuru wa mahakama, uhusiano wa kikanda na nafasi ya wanaharakati katika muktadha wa haki za binadamu Afrika Mashariki. Akizungumza […]

WANAHARAKATI WA KENYA WAZUILIWA KUHUDHURIA KESI YA KIONGOZI WA CHAMA CHA CHADEMA TUNDU LISU. Read More »

WABUNGE WA PWANI WASHINIKIZA SERIKALI KUU KUKAMILISHA MIRADI MIKUBWA YA MAENDELEO UKANDA HUU.

Wabunge wa Pwani wanasema wataendelea kupigania masuala ya maendeleo eneo hili, ili kupata ufadhili wa miradi katika bajeti ya mwaka ujao. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Danson Mwashako, wamesema kuwa serikali ya kitaifa, inapaswa kufanikisha miradi yake ukanda huu, hatua ambayo itaboresha uchumi wa Pwani. Akizungumza katika kikao kilicho waleta pamoja viongozi wa Pwani, katika kaunti

WABUNGE WA PWANI WASHINIKIZA SERIKALI KUU KUKAMILISHA MIRADI MIKUBWA YA MAENDELEO UKANDA HUU. Read More »

WANASIASA WAONYWA DHIDI YA KUKUMBUSHA WAKENYA GHASIA ZA BAADA YA UCHAGUZI WA MWAKA 2007-2008.

Mkuu wa mawaziri ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje Musalia Mudavadi, amewaonya wanasiasa dhidi ya kuchochea machafuko kwenye uchaguzi wa mwaka 2027. Kulingana na Mudavadi, hakuna kiongozi wa kisiasa ambaye anapaswa kukumbusha wakenya matukio hayo, kwani anawatia hofu ya kushiriki uchaguzi huo mkuu. Akizungumza katika eneo la Malava kaunti ya Kakamega, Mudavadi amesema

WANASIASA WAONYWA DHIDI YA KUKUMBUSHA WAKENYA GHASIA ZA BAADA YA UCHAGUZI WA MWAKA 2007-2008. Read More »