HABARI

UKOSEFU WA FEDHA ZA KAUNTI WACHELEWESHA UJENZI WA HIFADHI YA WAATHIRI WA DHULMA ZA KIJINSIA KAUNTI YA KWALE.

Ukosefu wa fedha za kutosha kwenye bajeti ya kila mwaka ya serikali ya kaunti ya Kwale, ndiyo chanzo cha serikali hiyo kushindwa kufanikisha ujenzi wa maeneo ya kuhifadhi waathiriwa wa dhulma za kijinsia. Haya ni kulingana na waziri wa masuala ya jamii na talanta kaunti hiyo Francisca Kilonzo, hifadhi hizo ni paswa kujengwa katika eneo […]

UKOSEFU WA FEDHA ZA KAUNTI WACHELEWESHA UJENZI WA HIFADHI YA WAATHIRI WA DHULMA ZA KIJINSIA KAUNTI YA KWALE. Read More »

MSHUKIWA WA MAUAJI YA MBUNGE CHARLES WERE AACHILIWA BAADA YA KUKAMATWA KWA MARA YA PILI.

Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP), imefanikiwa kukata rufaa ya kuachiliwa kwa mfanyabiashara Philip Aroko, ambaye ni mmoja wa washukiwa wa mauaji ya mbunge wa Kasipul kaunti ya Homa Bay, Charles Were,. Aroko, alikamatwa tena baada ya mahakama kuu ya Kibera, kubatilisha hatua ya kumwachilia kwa dhamana. Aroko, alikamatwa mnamo Jumatatu jioni baada

MSHUKIWA WA MAUAJI YA MBUNGE CHARLES WERE AACHILIWA BAADA YA KUKAMATWA KWA MARA YA PILI. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO ATUMIA MRADI WA NYUMBA KAUNTI YA NAIROBI KUSUTA WAPINZANI WAKE.

Rais William Ruto amewasuta baadhi ya wapinzani wake kwa kuendeleza semi zinazo kejeli utendakazi wa serikali ya Kenya kwanza. Kulingana na kiongozi huyo wa taifa, serikali yake itaendeleza mikakati ya kufanikisha ahadi ilizotoa kwa wananchi wa taifa hili katika kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2022. Akizungumza katika eneo la Mkuru Kwa Njenga kaunti ya

RAIS WILLIAM RUTO ATUMIA MRADI WA NYUMBA KAUNTI YA NAIROBI KUSUTA WAPINZANI WAKE. Read More »