NAIBU WA RAIS PROFESA KITHURE KINDIKI ATAKIWA KUJIUZULU.
Kinara wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka amemtaka naibu wa rais Profesa Kithure Kindiki kujiuzulu baada ya mahakama kusema kuwa uteuzi wake ulikiuka sheria za taifa hili. Kulingana na Kalonzo muungano huo wa upinzani kwa sasa hautambui uwepo kwa naibu wa rais katika taifa hili. Kalonzo katika kikao na waandishi wa habari, amesema kuwa hatua […]
NAIBU WA RAIS PROFESA KITHURE KINDIKI ATAKIWA KUJIUZULU. Read More »



