HABARI

WAKENYA WALAUMIWA KWA KUCHAPISHA TAARIFA MBAYA MITANDAONI KUHUSIANA NA KIFO CHA MBUNGE WA KASIPUL, ONG’ONDO WERE.

Spika wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetang’ula, amekosoa hisia za umma kuhusu mauaji ya Mbunge wa Kasipul Charles Ong’ondo Were, akitaja baadhi ya taarifa zinazo chapishwa mitandaoni kuwa zisizo na moyo wa huruma. Wetangula amesema kuwa wakenya wengi kwa sasa wamekuwa wenye gadhabu na hata kukosa kutathmini kauli wanazo chapisha mitandaoni kutokana na kisa hicho

WAKENYA WALAUMIWA KWA KUCHAPISHA TAARIFA MBAYA MITANDAONI KUHUSIANA NA KIFO CHA MBUNGE WA KASIPUL, ONG’ONDO WERE. Read More »

WIZARA YA LEBA YAPINGA MADAI YA WAKENYA KUHADAIWA KATIKA MPANGO WA KAZI MAJUU.

Waziri wa Leba Dkt. Alfred Mutua amepinga madai kwamba serikali iliwapora na kuwalaghai wakenya kwenye mpango wa kazi majuu wa kuwatafutia kazi Ughaibuni. Kulingana na waziri Mutua, zaidi ya wakenya elfu 41 wamenufaika kupata nafasi hizo za ajira ughaibuni na kuongeza kuwa mtu anaweza pata kazi hizo kwa kati ya mwezi mmoja hadi kumi na

WIZARA YA LEBA YAPINGA MADAI YA WAKENYA KUHADAIWA KATIKA MPANGO WA KAZI MAJUU. Read More »