GAVANA WA KAUNTI YA MOMBASA SHARIFF NASSIR APINGA KUHARAMISHWA KWA HAZINA YA NG-CDF NCHINI.
Naibu kinara wa Chama Cha ODM ambaye pia ni gavana wa Kaunti ya Mombasa Abdulswamaad Shariff Nassir, amepinga vikali mapendekezo ya aliyekuwa kinara wa Chama hicho Raila Odinga, kutaka kuondolewa kwa hazina ya maendeleo ya maeneo bunge nchini CDF. Akizungumza katika gatuzi dogo la Jomvu, Nassir amesema hatua hiyo itapunguza juhudi za maendeleo nchini huku […]



