HABARI

NANCY MACHARIA AKAMILISHA MDA MWAKE WA KUHUDUMU KATIKA WADHIFA WA MKURUGENZI WA TUME YA WALIMU TSC.

Tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC, imeanza mchakato wa kumtafuta afisa mkuu mtendaji mpya, atakayemrithi Nancy Macharia, ambaye muda wake wa kuhudumu unakaribia kukamilika. Macharia, ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza kuongoza tume hiyo tangu ibuniwe, amekuwa amekuwa akihudumu katika wadhifa huo tangu mwaka 2015. TSC iweka tangazo rasmi la uteuzi wa mrithi wa Macharia na […]

NANCY MACHARIA AKAMILISHA MDA MWAKE WA KUHUDUMU KATIKA WADHIFA WA MKURUGENZI WA TUME YA WALIMU TSC. Read More »

FRED MATIANG’I ASISITIZA WAKENYA KUDUMISHA AMANI.

Aliyekuwa waziri wa usalama nchini Dkrt Fred Matiang’I, amewaonya wakenya dhidi ya kuchochewa na wanasiasa kuendeleza hasama kati yao. Kulingana na Matiang’I, wakenya wanapaswa kudumisha umoja na kuendelea kuwa na imani ya kubadilika kwa hali ngumu za kiuchumi, ambazo zimeendelea kukumba taifa hili kwa sasa. Aidha, kiongozi huyo ambaye ametangaza nia yake ya kuwania urais

FRED MATIANG’I ASISITIZA WAKENYA KUDUMISHA AMANI. Read More »

SHIRIKA LA MUHURI LAKASHIFU MAUAJI YA MBUNGE WA KASIPUL KAUNTI YA HOMA BAY.

Afisa wa dharura katika shirika la Muhuri kaunti ya Monbasa, Francis Auma amelaani vikali mauji ya mbunge wa Kasipul kaunti ya Homa Bay Ong’ondo Were, huku akitaka idara ya usalama kuharakisha uchunguzi dhidi ya kisa hicho. Kulingana na Auma, kisa hicho kina dhihirisha usalama wa taifa hili hauko dhabiti na wakenya wako katika hatari ya

SHIRIKA LA MUHURI LAKASHIFU MAUAJI YA MBUNGE WA KASIPUL KAUNTI YA HOMA BAY. Read More »