MUUNGANO WA UPINZANI WATANGULIZA KAMPENI ZAO ENEO LA UKAMBANI KABLA YA RAIS WILLIAM RUTO.
Viongozi wa mrengo wa upinzani nchini wameanza rasmi ziara yao katika eneo la Ukambani siku chache kabla ya rais William Ruto kuzuru eneo hilo. Wakiongozwa na kinara wa chama cha DCP, Geoffrey Gachagwa amemsuta rais William Ruto kwa kumtumia msaidizi wake Faruk Kibet kumkejeli kinara wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka. Akihutubia wananchi katika kaunti […]



