HABARI

BARAZA LA MAGAVANA LAKISIA KUWEPO KWA WAFANYAKAZI HEWA KATIKA MPANGO WA UHC.

Huenda Kenya inapoteza mabilioni ya fedha kupitia mpango wa afya kwa wote wa UHC, kufuatia madai ya kuwepo wa maelfu ya wafanyakazi hewa wanaolipwa mishahara. Mwenyekiti wa kamati ya afya katika baraza la magavana Muthomi Njuki, anasema kuwa takribani wafanyakazi hewa elfu tatu, wamekuwa wakilipwa pasi na kufanyakazi. Njuki ambaye pia ni gavana wa kaunti […]

BARAZA LA MAGAVANA LAKISIA KUWEPO KWA WAFANYAKAZI HEWA KATIKA MPANGO WA UHC. Read More »

SERIKALI YA KAUNTI YA MOMBASA YAKOSOLEWA KWA KUKATA MITI ILIYOKO KWENYE BUSTANI YA UHURU.

Maseneta wa kaunti ya Mombasa wamemsuta vikali gavana wa kaunti hiyo Abdulswamad Shariff Nassir, kwa kukata miti iliyodumu kwa miaka mingi katika bustani ya Uhuru kwenye jiji kuu ya Mombasa. Wakiongozwa na seneta mteule Mirajj Abdulahi, wamesema kuwa zoezi hilo halikufuata sheria hitajika kwa mujibu wa katiba, hasa kipengele kinacho sisitiza haja ya wananchi kuhusishwa

SERIKALI YA KAUNTI YA MOMBASA YAKOSOLEWA KWA KUKATA MITI ILIYOKO KWENYE BUSTANI YA UHURU. Read More »

RIGATHI GACHAGWA AWASUTA WANASIASA WANAO MUUNGA MKONO RAIS WILLIAM RUTO.

Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagwa, amewasuta vikali baadhi ya wabunge wa eneo Mlima Kenya, kwa kuendelea kumuunga mkono rais William Ruto. Kulingana na Gachagwa, viongozi wanaounga mkono Serikali kuu, waendelea kupotosha wananchi katika eneo hilo, kwani huenda wakakosa kunufaika na matunda ya uongozi wa rais Ruto. Akizungumza katika eneo bunge la Lari kaunti

RIGATHI GACHAGWA AWASUTA WANASIASA WANAO MUUNGA MKONO RAIS WILLIAM RUTO. Read More »