SERIKALI YA KITAIFA YAAHIDI KUBORESHA BIMA MPYA YA AFYA SHA.
Serikali ya kitaifa imesema itaanzisha mpango wa wakenya wamapato ya chini, kumudu gharama ya malipo ya bima mpya ya afya SHA. Kulingana na rais William Ruto, mpango huo utasaidia pakubwa wakenya kupata huduma za afya, katika hospitali yeyote ndani ya taifa hili. Akizungumza katika kaunti ya Homa Bay, kwenye maadhimisho ya siku ya Madakaraka, kiongozi […]
SERIKALI YA KITAIFA YAAHIDI KUBORESHA BIMA MPYA YA AFYA SHA. Read More »



