HABARI

WAKAAZI WA KAUNTI YA HOMA BAYA WASISITIZWA KUUNGA MKONO SERIKALI YA MUUNGANO.

Rais William Ruto amewataka wakenya katika kaunti ya Homa Bay kuunga mkono na serikali yake, ili kushuhudia maendeleo katika eneo hilo. Akihutubia wananchi, Ruto amewaonya dhidi ya kukubaliana na kauli za wapinzani wake, wanao ongozwa na aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagwa. Rais amekashifu viongozi wa upinzani, akidai wamekuwa wakiendeleza fitina dhidi ya serikali yake, huku […]

WAKAAZI WA KAUNTI YA HOMA BAYA WASISITIZWA KUUNGA MKONO SERIKALI YA MUUNGANO. Read More »

MWANASHERIA MKUU DORCAS ODWOR ATETEA MADAI YA KUHAMISHWA KWA MUHURI WA SERIKALI KUTOKA KWA AFISI YAKE.

Mwanasheria mkuu nchini Dorcas Odwor amepinga madai ya kuhamishwa kwa muhuri maalum wa serikali kuu kutoka kwa afisi yake na kupelekwa katika afisi ya mkuu wa watumishi wa umma nchini Felix Koskei. Odwor ameweka wazi kuwa muhuri huo, ungali unadhibitiwa na afisi yake kwa mujibu wa sheria za taifa hili. Akizungumza na waandishi wa habari,

MWANASHERIA MKUU DORCAS ODWOR ATETEA MADAI YA KUHAMISHWA KWA MUHURI WA SERIKALI KUTOKA KWA AFISI YAKE. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO ANGALI KUSIFIA MUUNGANO WAKE NA RAILA ODINGA.

Rais William Ruto amewakashifu pakubwa baadhi ya wapinzani wake, ambao wameendelea kupinga miradi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Akizungumza katika ziara yake kule kaunti ya Kisumu, rais Ruto amempongeza aliyekuwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga, kwa kumsaidia katika kuboresha maendeleo ya taifa hasa katika eneo hilo. Rais amewataka wapinzani wake kuto ingiliakati umoja

RAIS WILLIAM RUTO ANGALI KUSIFIA MUUNGANO WAKE NA RAILA ODINGA. Read More »