UKOSEFU WA SODO WAATHIRI MASOMO KAUNTI YA TAITA TAVETA.
Kaunti ya Taita Taveta imejiunga na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya hedhi duniani. Waziri wa jinsia katika kaunti hiyo Shedrak Mutungi amesema kuwa idadi kubwa ya wanafunzi katika kaunti hiyo, wameendelea kupitia changamoto ya ukosefu wa sodo katika siku zao za hedhi. Waziri Mutungi, ameelezea kuwa wanafunzi wengi wamekuwa wakikosa kuhudhuria masomo shuleni, kufuatia […]
UKOSEFU WA SODO WAATHIRI MASOMO KAUNTI YA TAITA TAVETA. Read More »



