BANDARI KUREJEA MBARAKI JUMAPILI
Klabu ya Bandari FC itaanza rasmi kutumia uwanja wa Mbaraki Sports Club Jumapili baada ya kuchezea viwanja Mombasa Sports Ground pamoja na uwanja wa Ukunda Show Ground kwa muda kipindi ambacho uwanja wao wa nyumbani ulikuwa unaundwa kupewa hadhi ya kimataifa. Mechi ya kwanza kuchezwa katika uwanja huo ni dhidi ya Shabana FC mbandari wakiwa […]
BANDARI KUREJEA MBARAKI JUMAPILI Read More »



