SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YATUMIA MFUMO WA KILIMO NYUNYIZI KUTATUA TATIZO LA BAA LA NJAA.
Serikali ya kaunti ya kilifi kupitia idara ya kilimo na uchumi wa rasilimali za bahari na maziwa inaendeleza mikakati ya kukabiliana na ukosefu wa chakula jambo ambalo limekuwa likishuhudiwa katika maeneo mbali mbali ya kaunti hii kwa muda mrefu. Kulingana na waziri wa kilimo na uchumi wa rasilimali za bahari na maziwa Peterson Chula, idara […]



