JUNIOR FC IMEJIPANGA KWA MSIMU UJAO
Timu ya Junior Fc kutoka kaunti ya Taita Taveta ambayo ikishiriki ligi ya daraja la pili msimu jana kwa mara ya kwanza inalenga kuendeleza matokeo bora msimu ujao. Kulingana na kocha mkuu wa kikosi hicho Zablon Mwale ni kuwa wanapanga kuanza msimu kwa kishindo, na sasa wamefanya usajili wa wachezaji takriban saba watakao watumia msimu […]
JUNIOR FC IMEJIPANGA KWA MSIMU UJAO Read More »



