Kitaifa

JUNIOR STARLETS HATIMAYE YASAJILI USHINDI WA KWANZA KWENYE KOMBE LA DUNIA

Kocha wa timu ya taifa ya Harambee Jr Starlets mwite Mildred Cheche anasema amefurahishwa na jinsi wasichana wake walijituma kupatia Kenya ushindi wa kwanza katika ngazi ya Kombe la Dunia. Akizungumza baada ya ushindi wa alama tatu licha ya kuwa Junior starlets imetmwa katika mashindano hayo kwa kupoteza mechi mbili anasema ipo haja ya wachezaji […]

JUNIOR STARLETS HATIMAYE YASAJILI USHINDI WA KWANZA KWENYE KOMBE LA DUNIA Read More »

ALIYEKUWA MCHEZAJI WA HARAMBEE STARS AUZA SAMAKI GIKOMBAA

Mchezaji wa zamani wa kikosi cha Harambee stars mwite Tyron Otieno amebainisha kuwa kuna uozo mkubwa katika shirikisho la soka la Kenya haswa kwenye masuala ya malipo. Kulingana na Tyron kwenye ukanda unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ni kuwa shirikisho la soka chini ya Nick mwendwa limekuwa likichelewesha malipo ya wachezaji pamoja na kuwashughulikia pindi

ALIYEKUWA MCHEZAJI WA HARAMBEE STARS AUZA SAMAKI GIKOMBAA Read More »