CHECHE BADO ANAIMANI NA JUNIOR STARLETS KWENYE MECHI YA KESHO
Kocha wa timu ya taifa ya Junior starlets Mildred Cheche anasema bado anaimani na kikosi chake na kuwa wataandikisha matokeo mazuri hiyo kesho kwenye mechi ya mwisho dhidi ya Mexico Cheche anasema Jr starlets katika mashindano haya ya Kombe la Dunia kwenye taifa hilo la Dominican Republic wamekutana na timu zenye Upinzani mkubwa jambo ambalo […]
CHECHE BADO ANAIMANI NA JUNIOR STARLETS KWENYE MECHI YA KESHO Read More »



