Kitaifa

ALI MWACHAUNGA ASEMA AMEACHILIA WACHEZAJI MSIMU HUU

Kocha wa klabu ya Young Bulls inayoshiriki katika ligi ya Fkf daraja la kwanza Ali Marumu Mwachaunga anasema jambo ambalo limemfanya kuwa na mwanzo mbovu msimu huu ni kukosa matayarisho ya kutosha kabla msimu kuanza. Anasema amelazimika kuachilia wachezaji wengi ambao anadhani hawangemsaidia na badala yake amefanya usajili wa wachezaji wapya, vijana ambao anasema matumaini […]

ALI MWACHAUNGA ASEMA AMEACHILIA WACHEZAJI MSIMU HUU Read More »

HUSSEIN AMEIBUA HISIA KUHUSU ‘WIZI’ WA KURA ZA FKF

Mgombea wa urais wa Fkf Hussein Mohamed ameibua hisia kuhusu suala la uwazi kwenye mchakato wa uchaguzi wa urais utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu. Akizungumza katika kaunti ya Kiambu Hussein anasema kuna baadhi ya wagombea wanajaribu kuhitilafiana na sajili ya uchaguzi. Akikutana na baadhi ya wapiga kura ambao ni wawakilishi wa vilabu Hussein anasema ipo

HUSSEIN AMEIBUA HISIA KUHUSU ‘WIZI’ WA KURA ZA FKF Read More »