MECHI YATIBUKA KISA UKOSEFU WA GARI
Mechi ya kati ya klabu ya Inter Dabaso na Deep Sea jana ililazimika kutibuka baada ya kipindi cha kwanza kwa kile kinachotajwa kuwa mwenyeji ambaye ni Inter Dabaso alifeli kuzingatia za kuandaa mechi ya nyumbani baada ya kukosa kuwasilisha gari kwa ajili ya dharura kwa wakati unaofaa. Akizungumza na Tama La Spoti mkufunzi wa Inter […]
MECHI YATIBUKA KISA UKOSEFU WA GARI Read More »



