WANYONYI ATOA WITO KWA SERIKALI KUHUSU NDONDI
Daniel Wanyonyi ambaye ni bondia wa Kenya anayesubiri kuvaana na mpinzani wake Karim Mandonga wikendi ijayo ametoa wito kwa serikali kuwa na usawa katika kukuza vipaji. Amesema kwamba mchezo wa ndondi nchini umebezwa sana na serilali kiasi kwamba mabondia wanajihisi kutengwa. Ameshauri wadhamini kuingilia kati suala hilo ili kusaidia mchezo huo kupata hamasa hata zaidi […]
WANYONYI ATOA WITO KWA SERIKALI KUHUSU NDONDI Read More »



