BEACH BAY IKO HATARINI
Klabu ya Beach Bay kutoka eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi, klabu inayoshiriki ligi ya daraja la pili kitaifa iko katika hatari ya kushuka daraja kutoka ligi hiyo kuungana na furunzi pamoja na klabu ya Maji Bombers kushuka daraja. Beach Bay kufikia sasa imekosa kuheshimu ratiba mara mbili msimu huu kutokana na ukosefu wa […]
BEACH BAY IKO HATARINI Read More »



