HATIMAYE YOUNG BULLS YATOLEWA KILELENI
Klabu ya Rainbow fc kutoka kaunti ya Nairobi sasa imekwea kileleni mwa jedwali la ligi ya daraja la kwanza kitaifa baada ya wikendi hii kusajili ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya klabu ya Dandora Youth katika uwanja wa ugenini. Rainbow sasa imeishukisha Young Bulls kileleni kwa utofauti wa mabao baada ya Young Bulls kutoka pwani […]
HATIMAYE YOUNG BULLS YATOLEWA KILELENI Read More »



