Kitaifa

MALINDI HIGH IKO TAYARI KWA MASHINDANO YA KITAIFA

Timu ya shule ya upili ya Malindi High inatarajia kuwa na kibarua kigumu kuanzia hapo kesho watakapokuwa wanaanza Kushuka dimbani katika kampeni yao ya kuwania taji la raga za wachezaji saba kila upande kwenye mashindano ya shule za upili huko Kisii. Kennedy Kirinywa ambaye anaiongoza timu hiyo anasema analenga kuandikisha matokeo bora makala ya mwaka […]

MALINDI HIGH IKO TAYARI KWA MASHINDANO YA KITAIFA Read More »

MALINDI HIGH YAPANGA KUANDIKISHA HISTORIA KWENYE RAGA

Mwalimu wa michezo katika shule ya upili ya wavulana ya Malindi High kutoka eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi Kenedy Kirinywa anasema anajivunia kuwa wawakilishi wa mkoa wa pwani katika mashindano ya shule za upili mwaka huu kwenye mchezo wa raga za wachezaji saba kila upande. Kirinywa sasa anasema timu yake inalenga kusajili matokeo

MALINDI HIGH YAPANGA KUANDIKISHA HISTORIA KWENYE RAGA Read More »