BUMBANI STARS YALALAMIKIA MINI LEAGUE
Mkufunzi wa klabu ya Bumbani Stars Mwaduka Bakari amesema kuwa hafurahishwi na jinsi usimamizi wa ligi za fkf ulileta mfumo wa kufanya vilabu vilivyochukua ubingwa wa ligi kama ya daraja la pili kwenda mini ligi badala ya kupanda moja kwa moja. Kocha huyo anasema huo ni mfumo mbovu, na anasema Bumbani Stars walistahili kupanda moja […]
BUMBANI STARS YALALAMIKIA MINI LEAGUE Read More »



