Kaunti

KAUNTI YA KWALE IMESAJILI IDADI NDOGO YA WANAFUNZI AMBAO WANAJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA

Mkurugenzi wa elimu kanda ya pwani Luka Kangogo amesema kaunti ya Kwale ni miongoni mwa kaunti za pwani ambazo hazijaafikia asilimia 100 ya watoto ambao wanapaswa kujiunga na kidato cha kwanza na wale wa Sekondari msingi. Akizungumza katika kaunti ya Kwale Kangogo amesema wazara ya elimu imeanzisha harakati za kuhakikisha wanafunzi wote katika viwango hivyo […]

KAUNTI YA KWALE IMESAJILI IDADI NDOGO YA WANAFUNZI AMBAO WANAJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA Read More »

MOHAMED ALI ASEMA WATAENDELEZA MIKAKATI YA KUHARAMISHA SUALA LA MAPENZI YA JINSIA MOJA BUNGENI

Mbunge wa Nyali kaunti ya Mombasa Mohamed Ali amesema wataendeleza harakati za kuharamisha suala la mapenzi ya jinsia moja bungeni. Amesema tabia hizo zinakiuka maadili ya kidini pamoja na mila za kiafrika ambazo zinasukumwa na mataifa ya kigeni ili kuendelezwa nchini Kenya. Ali ambaye alikuwa akiwahutubia wenyeji wa eneo bunge lake la Nyali amesema ni

MOHAMED ALI ASEMA WATAENDELEZA MIKAKATI YA KUHARAMISHA SUALA LA MAPENZI YA JINSIA MOJA BUNGENI Read More »

FAZA YOUTH ACTION GROUP YAITAKA SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU KUZIFUFUA NA KUZIIMARISHA ZAHANATI

Shirika la kijamii la Faza Youth Action Group kaunti ya Lamu limeitaka serikali ya kaunti hiyo kuharakisha mchakato wa kuzifufua na kuziimarisha zahanati ambazo ziko katika wadi ya Basuba eneo la Boni ili kuwanufaisha wenyeji wa maeneo hayo. Kulingana na shirika hilo, wadi ya Basuba iko na zahanati moja pekee eneo la Kiangwe na haina

FAZA YOUTH ACTION GROUP YAITAKA SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU KUZIFUFUA NA KUZIIMARISHA ZAHANATI Read More »