Kaunti

ASKOFU MARTIN KIVUVA AMEITAKA SERIKALI KUU KUWEKEZA ZAIDI KATIKA MIRADI YA UCHIMBAJI WA MABWAWA NCHINI

Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Mombasa Martin Kivuva ameitaka serikali kuu kupitia idara husika kuwekeza zaidi katika miradi ya uchimbaji mabwawa ili kudhibiti baa la njaa na kaingazi nchini. Akizungumza katika kaunti ya Mombasa Kivuva amesema iwapo hilo litatekelezwa itakuwa afueni kwani hakutakuwa na visa vya watu kukabiliwa na baa la njaa nchini […]

ASKOFU MARTIN KIVUVA AMEITAKA SERIKALI KUU KUWEKEZA ZAIDI KATIKA MIRADI YA UCHIMBAJI WA MABWAWA NCHINI Read More »