MAAFISA WA EACC KANDA YA PWANI KASKAZINI WAMTIA MBARONI AFISA ANAYEFANYA KAZI KATIKA SERIKALI YA KAUNTI YA TANA RIVER
Maafisa wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC kanda ya pwani kaskasini wakishirikiana na maafisa wa polisi wamefaulu kumtia mbaroni afisa mmoja wa kaunti ya Tana River katika uwanja wa ndege wa Malindi kaunti ya Kilifi akiwa na shilingi milioni mbili na laki saba. Akithibitisha kukamatwa kwa afisa huyo meneja wa tume […]



