Kaunti

ALI WARIO GUYO AWASHAURI WENYEJI WA TANA DELTA KUTHAMINI KILIMO NYUNYIZI

Mbunge wa Garsen kaunti ya Tana River Ali Wario Guyo, amewashauri wakaazi wa Tana Delta kuthamini kilimo nyunyizi kama mbinu ya kukabiliana na baa la njaa. Guyo amesema upanzi kupitia kilimo nyunyizi utaimarisha uzalishaji wa chakula ikizingatiwa kwamba hali ya kiangazi imesababisha kuadimika kwa mvua. Aidha Guyo amewakosoa baadhi ya makundi ambayo yalipewa mitambo ya […]

ALI WARIO GUYO AWASHAURI WENYEJI WA TANA DELTA KUTHAMINI KILIMO NYUNYIZI Read More »

WENYEJI WA TAITA TAVETA WANAOISHI KARIBU NA MBUGA YA WANYAMAPORI YA TSAVO WAIBUA LALAMA ZAO

Wakaazi wa kaunti ya Taita Taveta hususan wanaoishi karibu na mbuga ya kitaifa ya wanyamapori ya Tsavo wanalalamikia kero la wanyamapori na kulitaka shirika Hilo kuwajibika ipasavyo. Wakiongozwa na mwakilishi wa wadi ya Wumingu – Kishushe Newton Kifuso wanasema uvamizi huo unasababisha shughuli zao nyingi kulemazwa. Aidha, Kifuso ametoa wito kwa idara ya usalama kushirikiana

WENYEJI WA TAITA TAVETA WANAOISHI KARIBU NA MBUGA YA WANYAMAPORI YA TSAVO WAIBUA LALAMA ZAO Read More »

WENYEJI WA KAUNTI YA LAMU WAPATA IDHINI YA KUHIFADHI NA KULINDA MIKOKO

Wakaazi wa Lamu wamepata idhini ya kuhifadhi na kulinda mikoko baada ya mkataba wa maelewano kuwekwa kati yao, serikali na mashirika mbalimbali ya kuhifadhi mikoko. Ni hatua ambayo inalenga kuimarisha mikoko na kuboresha kiuchumi kaunti hiyo ya Lamu na hii kutokana na asilimia 60 ya mikoko yote humu nchini kupatikana kaunti hiyo ya Lamu. Aidha

WENYEJI WA KAUNTI YA LAMU WAPATA IDHINI YA KUHIFADHI NA KULINDA MIKOKO Read More »