WAPEMBA ELFU 7 KUSAJILIWA KUPATA VITAMBULISHO VYA KITAIFA
Zoezi la kuwasajili wapemba kama kabila la 47 nchini Kenya limeanza katika kaunti ya Kilifi. Zaidi ya wapemba 7,000 wanatazamiwa kusajiliwa kupata vitambulisho katika kipindi cha mwezi mmoja. Katibu wa uhamiaji na huduma za umma nchini Julius Bitok amesema zoezi hilo la Kuwasajili Wapemba litafanyika kwa mwezi mmoja katika kaunti za Mombasa, Kilifi na Kwale […]
WAPEMBA ELFU 7 KUSAJILIWA KUPATA VITAMBULISHO VYA KITAIFA Read More »



