Kaunti

SUPKEM YAITAKA SERIKALI KUU KUPIGA MARUFUKU MASHIRIKA YANAYOFADHILIWA NA MATAIFA YA NJE

Baraza kuu la waslamu nchini SUPKEM limeitaka serikali kupiga marufuku mashirika yasiokuwa ya kiserikali yanayofadhiliwa na mataifa ya Ulaya kuunga mkono mapenzi ya watu wa jinsia moja. Wakiongozwa na sheikh Badru Khamis Baraza hilo pia linaitaka serikali kuhakikisha linalinda wananchi dhidi ya kushirikishwa katika mila na tamaduni za mataifa ya Ulaya hasa mila zinazokinzana na

SUPKEM YAITAKA SERIKALI KUU KUPIGA MARUFUKU MASHIRIKA YANAYOFADHILIWA NA MATAIFA YA NJE Read More »

WAKEREKETWA WA HAKI ZA KIBINADAMU WAMTAKA RAIS RUTO KUPUNGUZA BEI ZA BIDHAA

Wakereketwa wa maswala ya kijamii wamemtaka rais William Samoei Ruto kupunguza bei za bidhaa kwa kushusha ada na kodi zinazotozwa kwa bidhaa na huduma za kimsingi kama kawi, mafuta na vyakula. Wakereketwa hao kutoka shirika la kutetea haki za kibinadamu la MUHURI, wakiongozwa na Francis Auma ambaye ni afisa wa dharura katika shirika hilo wamekosoa

WAKEREKETWA WA HAKI ZA KIBINADAMU WAMTAKA RAIS RUTO KUPUNGUZA BEI ZA BIDHAA Read More »