Kaunti

MUHURI YATOA WITO KWA ASASI ZA USALAMA KUKABILI VISA VYA UHALIFU KAUNTI YA MOMBASA

Afisa wa dharura katika shirika la kutetea haki za kibindamu la MUHURI kaunti ya Mombasa Francis Auma amesema kuna ongezeko la visa vya uhalifu hasa katikati mwa mji huo wa Mombasa. Kulingana na Auma maeneo ya Mwembe Tayari, barabara ya Nkrumah, barabara ya Moi na maeneo ya Posta kuwa miongoni mwa yale ambayo yamejaa visa […]

MUHURI YATOA WITO KWA ASASI ZA USALAMA KUKABILI VISA VYA UHALIFU KAUNTI YA MOMBASA Read More »

MAHAKAMA YA MALINDI YABATILISHA USHINDI WA MBUNGE WA MAGARINI

Mahakama kuu ya Malindi kaunti ya Kilifi imebatilisha ushindi wa mbunge wa Magarini Harrison Gharama Kombe. Akitoa uamuzi huwo jaji wa mahakama hiyo Alfred Mabeya, amesema uchaguzi wa wadhifa wa ubunge eneo Hilo la Magarini, ulikumbwa na udanganyifu mwingi wakati wa kuhesabiwa kwa kura na hata kabla ya kutangazwa kwa ushindi wa Kombe. Aidha, Mahakama

MAHAKAMA YA MALINDI YABATILISHA USHINDI WA MBUNGE WA MAGARINI Read More »

WALINIONDOKEA NIKAYUMBA – PETER MOLE MKUFUNZI WA BEACH BAY

Mkufunzi wa ligi ya daraja la pili kitaifa Peter Ponda anayekiongoza kikosi cha Beach Bay anasema sababu kubwa ya kufanya klabu hiyo kuandikisha matokeo duni msimu huu ni kutokana na baadhi ya wachezaji tegemezi kujiondoa kikosini hapo. Baadhi wa wachezaji anaowakosa ni pamoja na Amani Kiponda aliyehamia klabu ya Mombasa Omax FC ambayo pia yacheza

WALINIONDOKEA NIKAYUMBA – PETER MOLE MKUFUNZI WA BEACH BAY Read More »