NAIBU WA RAIS ASEMA ATAWATAJA WALIOPORA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 24
Naibu wa rais Rigathi Gachagua sasa anasema atawataja watu anaosema walipora zaidi ya shilingi bilioni 24, miezi mitatu kabla ya mwisho wa utawala wa rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Gachagua aliyezungumza eneo la Roysambu jijini Nairobi alidai kuwa hali ngumu ya kiuchumi inashuhudiwa sasa nchini inatokana na uporaji huo, anaodai ulifanyika na baadhi ya mawaziri na […]
NAIBU WA RAIS ASEMA ATAWATAJA WALIOPORA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 24 Read More »



