Kaunti

FRANCIS AUMA AILAUMU SERIKALI KWA KUWAHANGAISHA WANAHARAKATI WANAOANDAA MAANDAMANO NCHINI

Afisa wa dharura katika shirika la kutetea haki za kibinadam la MUHURI Francis Auma, amelalamikia hatua ya serikali kuwahangaisha baadhi ya wanaharakati wanaofanya maandamano humu nchini akisema sio sahihi. Kulingana na Auma ni kuwa hatua ya wanaharakati kuandaa maandamano kutokana na kuwepo kwa gharama ya juu ya vyakula, ni haki yao kwa mujibu wa sheria

FRANCIS AUMA AILAUMU SERIKALI KWA KUWAHANGAISHA WANAHARAKATI WANAOANDAA MAANDAMANO NCHINI Read More »

ASKOFU MARTIN KIVUVA AITAKA JAMII KAUNTI YA MOMBASA NA PWANI KWA JUMLA KUSHIRIKIANA

Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Mombasa, Martin Kivuva ameitaka jamii kaunti ya Mombasa na Pwani kwa jumla, kushirikiana katika kuhakikisha kuwa usalama unadumishwa katika jamii. Akizungumza na wanahabari katika kaunti ya Mombasa, kiongozi huyo wadini amesema kuwa licha ya jukumu la usalama kupewa maafisa wa polisi, jamii pia inapaswa kushirikiana katika kuwafichua wahalifu

ASKOFU MARTIN KIVUVA AITAKA JAMII KAUNTI YA MOMBASA NA PWANI KWA JUMLA KUSHIRIKIANA Read More »