Kaunti

RUTO AMEAHIDI MIZOZO YA ARDHI KUTATULIWA KAUNTI YA LAMU

Rais William Samoei Ruto ameahidi kulishughulikia suala tata la ardhi katika kaunti ya Lamu ili kudhibiti mizozo inayotokana na umiliki ardhi kwenye kaunti ya Lamu. Akizungumza jana katika uwanja wa muungano eneo la Mpeketoni kaunti ya Lamu Rais Ruto amesema atafanikisha ahadi ambazo alitoa wakati wa kampeni za uchaguzi kuhusu suala tata la ardhi kwenye […]

RUTO AMEAHIDI MIZOZO YA ARDHI KUTATULIWA KAUNTI YA LAMU Read More »

ROSTAM AZIZI ATOA WITO KWA SERIKALI ZA AFRIKA MASHARIKI KUIMARISHA UWIANO

Mwekezaji na pia mmiliki wa Gesi kutoka taifa la Tanzania Rostam Aziz ametoa wito kwa serikali za kanda ya Afrika Mashariki kuimarisha uwiano miongoni mwa raia wake ili kuboresha masuala ya biashara. Kwa mujibu wa Aziz, serikali za mataifa yaliyowanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefeli katika kuboresha mazingira bora ya kibiashara licha ya kuwa

ROSTAM AZIZI ATOA WITO KWA SERIKALI ZA AFRIKA MASHARIKI KUIMARISHA UWIANO Read More »

WADAU MBALI MBALI ENEO LA MALINDI KAUNTI YA KILIFI WASHIRIKIANA KATIKA ZOEZI LA UPANZI WA MITI.

Kama njia mojawapo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia inchi katika eneo hili la Malindi na kaunti ya Kilifi kwa jumla, wadau mbali mbali wa kimazingira kaunti ya Kilifi, wameendeleza shughuli za upanzi na utunzi wa miti katika bustani ya Buthwani water front Park. Kulingana na mwanzilishi wa mpango wa upanzi wa miti milioni moja

WADAU MBALI MBALI ENEO LA MALINDI KAUNTI YA KILIFI WASHIRIKIANA KATIKA ZOEZI LA UPANZI WA MITI. Read More »