ZAIDI YA WANAFUNZI MIA NANE WADI YA GANDA WAMENUFAIKA NA FEDHA ZA BASARI KUTOKA KWA SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI.
Zaidi ya wanafunzi mia nane katika wadi ya Ganda eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi, wamenufaika na kima cha shilingi milioni 4.85, fedha za basari kutoka kwa serikali ya kaunti ya Kilifi. Kulingana na mwakilishi wadi hiyo Oscar Wanje, ni kuwa wanafunzi hao ni pamoja na wale wa shule za upili, vyuo vikuu pamoja […]



