VIONGOZI WA MICHEZO MASHINANI WALALAMA TAARIFA HAZIWAFIKII
Wito umetolewa kwa viongozi wa michezo nchini kuingia mashinani kutazama na kutambua talanta za wachezaji kama njia moja ya kutimiza lengo kuu la ugatuzi kwa kuangazia wachezaji walio mashinani zaidi. Jambo hilo litasaidia kutoa hamasa zaidi kuhusu mradi wa serikali wa talanta hela pamoja ambapo vijana wengi wenye vipaji watatambulika. Akizungumza na Tama La Spoti […]
VIONGOZI WA MICHEZO MASHINANI WALALAMA TAARIFA HAZIWAFIKII Read More »



