UONGOZI WA KAUNTI YA TAITA TAVETA WALAUMIWA
Makundi ya wachimba madini wadogowadogo eneo la Kishushe kaunti ya Taita Taveta wameushutumu uongozi wa kaunti hiyo kwa kile walichosema kuwa uongozi husika umekataa kuwawakea sahihi katika stakabadhi zao ili waweze kuchimba madini. Wamesema kuwa kwa muda mrefu sasa wamekosa kunufaika kupitia raslimali ya madini katika eneo hilo kutokana na sababu zisizokuwa na msingi. Wachimba […]
UONGOZI WA KAUNTI YA TAITA TAVETA WALAUMIWA Read More »



