Kaunti

MUUNGANO WA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI WAMTAKA RAIS RUTO KUFANYA MASHAURIANO NA RAILA ODINGA

Muungano wa maaskofu wa kanisa katoliki sasa unamtaka Rais William Ruto na Kiongozi wa Azimio Raila Odinga kufanya mashauriano na kuzima tofauti za kisiasa humu nchini. Askofu Philip Anyolu ambaye ni askofu mkuu wa jimbo la Nairobi anasema kuwa joto la kisiasa lililopo nchini linahatarisha amani na kuibua taharuki katika maeneo mengi nchini. Wakati huo […]

MUUNGANO WA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI WAMTAKA RAIS RUTO KUFANYA MASHAURIANO NA RAILA ODINGA Read More »

MKUTANO WA MAOMBI KUANDALIWA KESHO KWENYE UWANJA WA ALASKAN MJINI MALINDI

Himizo linaendelea kutolewa kwa vijana kaunti ya Kilifi na nchini Kote kuzidi kumtumikia mwenyezi Mungu na pia kuhudhuria ibada kanisani ili kuepukana na mambo ambayo, huenda yakawashawishi kupotoka kimaadili. Akizungumza na Lulu Fm Mchungaji wa kanisa la Life Church International Malindi kaunti ya Kilifi Daniel Nga’ang’a, maarufu kama Danny Gift amesema vijana wengi hawaendi kanisani

MKUTANO WA MAOMBI KUANDALIWA KESHO KWENYE UWANJA WA ALASKAN MJINI MALINDI Read More »

WENYEJI WA MTAA WA OWINO UHURU KAUNTI YA MOMBASA WAENDELEA KUDAI HAKI YAO

Wenyeji wa mtaa wa Owino Uhuru eneo bunge al Jomvu kaunti ya Mombasa wamesema wataendelea kukita kambi nje ya majengo ya mahakama ya Rufaa mjini humo wakisema hawataondoka hadi kesi yao itakapoamuliwa na waathiriwa kufidiwa. Hii ni licha ya mahakama hiyo ya Rufaa kuhairisha tarehe ya kutoa uamuzi dhidi ya fidia ya shilingi bilioni 1.3

WENYEJI WA MTAA WA OWINO UHURU KAUNTI YA MOMBASA WAENDELEA KUDAI HAKI YAO Read More »