MACHUNGAJI LEONARD KOTSE ATOA WITO KWA MUUNGANO WA KENYA KWANZA KUSITISHA MAANDAMANO
Mchungaji wa kanisa la Adonai kaunti ya Mombasa Leonard Kotse, ametoa wito kwa viongozi wa azimio kusitisha maandamano yao na badala yake watafute njia mbadala ya kuiwajibisha serikali. Katika mazungumzo ya kipekee na Meza yetu ya habari kwa njia ya Simu, Mchungaji Kotse amesema ni vyema iwapo maandamano hayo, yatasitishwa na mikakati kuwekwa namna masuala […]
MACHUNGAJI LEONARD KOTSE ATOA WITO KWA MUUNGANO WA KENYA KWANZA KUSITISHA MAANDAMANO Read More »



