Kaunti

RAILA ODINGA ASEMA MAANDAMANO YATAENDELEA KILA SIKU YA JUMATATU

Kinara wa azimio la umoja one Kenya Raila Odinga ametangaza kuwa kutakuwa na maandamano kwa jina Unga revolution kila siku ya jumatatu baada ya maandamano ya jana jijini Nairobi na maeneo mengine ya taifa hili. Raila amesema kuwa maandamano hayo yanalenga kushinikiza serikali kushughulikia kupanda kwa gharama ya maisha akisema kuwa kila siku ya jumatatu […]

RAILA ODINGA ASEMA MAANDAMANO YATAENDELEA KILA SIKU YA JUMATATU Read More »

RAIS RUTO AMTAKA RAILA KUTUMIA KATIBA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAKENYA

Rais William Ruto amemtaka kinara wa Azimio Raila Odinga kutumia katiba kutatua changamoto zinazowakabili wakenya. Rais amezungumza haya katika ikulu ya Nairobi alipomuapisha solisita mkuu mpya shadrack Mose ambapo amesema kuwa kila mkenya bila kujali cheo au tabaka anapaswa kutii sheria ya taifa kwa mujibu wa katiba. Rais Ruto amesema kuwa kamwe hataruhusu watu wachache

RAIS RUTO AMTAKA RAILA KUTUMIA KATIBA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAKENYA Read More »

MECHI YA YANGA KUCHEZWA KESHO KISA MASHINDANO YA UFUKWE

Mechi ya daraja la pili kitaifa ya Samburu Lions dhidi ya Yanga itachezwa kesho katika dimba la Alaskan mjini Malindi. Mechi hiyo ilifaa kuchezwa wikendi ilopita lakini ikalazimishwa kuahirishwa kutokana na Yanga fc waliokuwa wanashiriki katika mashuindano ya kitaifa ya Olimpiki za Ufukweni mjini Malindi katika kaunti ya Kilifi ambako Yanga inayoongozwa na mkufunzi Collins

MECHI YA YANGA KUCHEZWA KESHO KISA MASHINDANO YA UFUKWE Read More »